ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Thursday, October 27, 2011

MPIGIE GEOFREY MWAKIBETE KURA YA MPIGA PICHA BORA WA MITINDO WA MWAKA 2011/12

Wapenzi wadau na wasomaji wa napenda kuwafahamisha kuwa Geofrey Mwakibete wa MO BLOG ambaye amebahatika kuchaguliwa kuwa miongoni mwa washiriki wa shindano la SWAHILI FASHION WEEK AWARDS katika kundi la Wapiga picha bora wa Mitindo.

Bila nyinyi asingefanikiwa kupata nafasi hii hivyo tunaomba tuendelee kumpa sapoti na hamasa kwa kumpigia kura GEOFREY MWAKIBETE kupitia mtandao


http://www.swahilifashionweekawards.blogspot.com

Asanteni kwa Ushirikiano wenu.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.