Kutoka shoto Kabago, B12, Jack na Dude walipovamia Passion Fm Mwanza. Ni mambo ya wikiendi na suala zima la kujisongesha kwenye minyongo ya bata 'New Stone Club' kunako hapen' mbaya'''**
Kabago, B12, G. Sengo na Dude, Kama ni burudani ndo hizi twala waungwana ambapo kila siku kuna menyu ya udiferenti, mafrendz wakidropu kutoka kona na kona duniani, mavisiwani nini na nini... kama vipi njoo leo Jumapili ndani ya Stone Club kwa mambo ya Sports Bar na supu kwa wAlIoHeNg'OvIkA!
TAZAMA USIKU WA BI FELISIA KYAMANI ULIVYO FANA
-
Wanafamilia na Waalikwa wakicheza kwaifuraha na shangwe kwenye siku hii
muhimu ya SendOff ya Bi Felias Kyamani .
Watu walivaa na kupendeza Ukumbi ulipambw...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.