ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Tuesday, October 18, 2011

MAHOJIANO MAALUM KATI YA WAZIRI MKUU NA URBAN PULSE KUONEKANA LIVE STAR TV

Urban Pulse Creative wakishirikiana na Star Tv wanakuletea Mahojiano Maalum na Mh. Waziri Mkuu Mizengo Pinda alipofanya ziara nchini Uingereza hivi karibuni. Mahojiano yamelenga zaidi kupata ufahamu na uchambuzi wa namna serikali yetu ya Tanzania inavyofanya kazi pamoja na changamoto zake.

Mengine ni pamoja na majukumu ya Waziri mkuu, Chakula, Nishati, Jumuiya ya Afrika Mashariki na mchakato wa katiba mpya kuelekea kuazimisha miaka 50 ya Uhuru.

Mahojiano haya yalifanywa na Baraka Baraka kutoka Urban Pulse yatarushwa hewani kupitia Star Tv Jumapili ijayo Tarehe 30 Octoba 2011 saa 10:30 katika kipindi cha Medani za Siasa.

Usikose.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.