ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Saturday, August 27, 2011

HAPA HAPA>>>>ARACHUGA

Hata mbuyu ulianza kama mchicha naskia kalikuwa kachupi kadogo TTuuu mwanawane miaka ikasonga kakawa kakubwa!

Haijalishi Kwa umeme wetu uchakarikaji unaendelea.

Kitu kinakuja.

Si mbugani wala porini ni mtaani kwetu Levolosi Arusha.

Bango.

Kituuuu au vituuu?.

Arusha Lutheran Medical Centre.

Biashara hiyo.

Tupe maoni yako

1 comments:

  1. sengo asante kwa picha nilikuwa nauliza hapo ni Arusha au maana neno Arachuga limenipiga chenga pls naomba unijuze

    ReplyDelete

Note: Only a member of this blog may post a comment.