Vodacom Miss Lake zone 2011 Tracy Sospeter Mabula(Shy), akiwa na washindi wenzake, kushoto kwake ni Irene Karugaba mshindi wa Pili(MZA), Kulia Kwake ni Glory Samwel mshindi wa Tatu(Shy). Washiriki hawa watatu watawakilisha kanda ya ziwa katika mashindano ya Urembo ya Taifa Jijini Dar es Salaam.
Ili kuepuka uchakachuaji na upangaji wa matokeo, now dayz Kamati ya Miss Tanzania imeanzisha utaratibu mpya kwa mashindano ngazi ya kanda WANASEMA: Ngazi hii Majaji ni wadau toka kamati ya Miss Tanzania tu!!
Warembo walio ingia kumi bora miss lake zone. Burudani sasaaa..Kinara wa Obsession.
Wanadada wa kundi la Obsession wakipiga show.
Dance la miss lake zone.
Dance two'
Burudani ya Hip-hop iliwakilishwa vyema na mkali toka Rock City Philbert Kabago(shoto) hapa akipewa tafu na produza wa MO REC
RAIS SAMIA AFTURISHA WATOTO KIKOMBO DODOMA
-
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.
Mwanaidi Ali Khamis akigawa iftar kwa mmoja ya mtoto anayelelewa katka
Makao ...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.