Tupe maoni yako
TANZANIA YAUNGA MKONO UENDELEVU WA BONDE LA NILE
-
TANZANIA YAUNGA MKONO UENDELEVU WA BONDE LA NILE
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imethibitisha kuendelea
kulisaidia Bonde la Mto Nile, i...
3 hours ago
Duh! kaka G ki ukweli bado tunamhitaji huyu jamaa hapa Mwanza ila basi tena ila sijaipenda hii. Jamaa mpiganaji huyu pia mpenda haki. Namtakia kila la kheri huko aendako ila katukomeshea ujambazi Mkoa wa Mwanza kweli tutamkumbuka daima. Sasa ujambazi utarudi kwa kasi ya ajabu.
ReplyDeleteSasa kuhamishwa kwake ni kwa heri au ni hujuma!! kweli hakuna haki duniani.