ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, June 26, 2011

YANAYOENDELEA SASA FIESTA MWANZA

Adjya-djyaaaaa....Mwana FA on the stage.

Saa nyingi watu wamepagawa!!!

Mwasiti na Chiddy Benz Walifanya booonge la Kolabo...

Pipoz...

Kama ada yake mtu mzima Profesa Jay alikamatisha na kudatisha ile mbayaa!!

Show ilizingatia vigezo vyote vya usalama kimataifa kwani hata walio dhulika kutokana na mishemishe za hapa na pale walipata huduma ya kwanza katika sehemu maalum Uwanja wa CCM Kirumba.

Kutoka shoto Jimmy Jams,Clouds Tv man, Zamaradi na mie.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.