ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, June 19, 2011

JAHAZI MORDEN TAARAB YAMWAGA RAHA ZA KUWAPAGAWISHA WAKAZI WA MUSOMA

Raha jipe mwenyewe usingoje kupewa ndivyo ilivyokuwa kwa shabiki huyu aliye amua kulikwea jukwaa la Jahazi Morden Taarab na kuamua kuserebuka mbele ya Mzee Yusufu.

Shughuli ....

Mpiga solo guitar...

Shughuli nzima ya burudani kwa wakazi wa Musoma ililetwa kwa hisani ya Mzee Yusufu Classic Fashion Wear.

Safu nzima na ming'aro....

Ilipigwa burudani ya kufa mtu kwenye ukumbi wa Bwalo la magereza Musoma, nyomi ya hatari uliposimama tikisika hapo hapo, kwani hakukuwa na hata nafasi ya kusogeza mguu.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.