ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Sunday, April 10, 2011

RAIS KIKWETE AVUNJA HALMASHAURI KUU NA SEKRETARIETI YA CCM FAGIO LAMPITIA MAKAMBA.

Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi (CCM) Jakaya Mrisho Kikwete, amevunja sekretarieti ya chama hicho inayoongozwa na katibu wake Yusuph Makamba, hatua inayoelezwa kufuatiwa na maamuzi mazito zaidi.

Uamuzi huo wa Kikwete umefanyika usiku wa kuamkia leo, huku hali ikiendelea kuwa tete mjini Dodoma kunakofanyika vikao vya chama hicho vilivyotanguliwa na sekretarieti na baadae kamati kamati kuu. Kwa mujibu wa taarifa hizo Rais Kikwete ameonekana kuwa mkali na amekuwa akitembea na ajenda mkononi huku wasaidizi wake wengine wakiwa hawaelewi undani wa ajenda yake ya mageuzi mazito ndani ya CCM.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.