Bonta na Mix Tape yake inayoitwa Kila Kitu Nyerere.
Mwanaharakati huyu kasema nami leo hii na kunisikilizisha ngoma zinazopatikana ndani ya mix tape hiyo, 'Eh bana eeee! IN SHORT IKO FULL!' Na mie Ninaipa baraka zote kwako Mzalendo mwenzangu isake uimiliki kisha uisikilize. Kama vipi any time ndani ya XXL ya clouds fm itasikika kwenye 'album review'='Just kwa muonjo tu kabla haijatua sokoni rasmi'
ebwana hiyo mix tapu ni noma sengo jana niniisikiliza na kuinunua pale mo rec ni noma jamaa ni kama kitabu ,,,,anastahili tuzo kwa kazi nzuri alizofanya last year but,sijui nini?kilakitu nyerere,,,,aisee ni noma ni national anthem.............bonta keep it up!big up sana!
RAIS SAMIA AFTURISHA WATOTO KIKOMBO DODOMA
-
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.
Mwanaidi Ali Khamis akigawa iftar kwa mmoja ya mtoto anayelelewa katka
Makao ...

ReplyDelete