Vuta nikuvute hii ilitokea jumamosi iliyopita pale mtanzania huyu mwenye asili ya Asia mwenye (pikipiki no hizo....) alipotoa lugha chafu na kejeli kwa walinda usalama wa moja ya benki hapa Mwanza, kisa na mkasa - kuzuiwa kuingia ndani ya benki kupata huduma kwani muda ulikuwa umekwisha wa kutoa huduma. Wakati akielezwa kuondoka eneo hilo raia huyo alimsukuma mmoja wa askali polisi, kiasi cha askari huyo kupoteza balansi na kuangusha silaha aliyokuwa kaitundika begani. Wewee!.. mbona kikamgeukia, ikawa seleka..... Mara baada ya hapo jamaa akaarestiwa kwenye chumba maalum kwa mahojiano ..... na sikujuwa kilichoendelea.
Mambo sita kuuelewa msimamo wa Papa mpya
-
Papa Leo alichaguliwa kuwa kiongozi mpya wa Kanisa Katoliki Alhamisi
kufuatia kifo cha mtangulizi wake, Papa Francis, katika kongamano la siku
mbili katika...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.