KAMPUNI ya Bia ya Serengeti Breweriers jana iliendelea na zinduzi zake kuitambulisha bia yake mpya Uhuru Peak Lager kama hatua ya kuendelea kukuza soko la la bidhaa zake hapa nchini. Uzinduzi wa jana ulikuwa ni ktk Wilaya ya Sengerema mjini.
Sengerema ni moja ya wilaya zinazokua kwa kasi hapa nchini na hivyo Kampuni ya Serengeti imeona ni bora kuitambulisha bia hiyo kwa wakazi wa mji wa huo na vitongoji vyake ili nao wajivunie kwa kupata kile kilicho bora.
Bia hiyo yenye ujazo wa mililita 350 ikiwa na asilimia 5.8 ya kilevi, tayari imeshaanza kuuzwa katika mikoa mbalimbali ya Kanda ya Ziwa na wilaya zake; kwa mji wa Sengerema ni wiki ya pili sasa tangu bia hiyo iingie sokoni.
SERIKALI YAAHIDI KUBORESHA MIUNDOMBINU KING LION
-
Prof.Mkumbo katikati akisikiliza maelekezo kutoka kwa Meneja wa King Lion
Arnold Lyimo.
Waziri Mkumbo akiwa kwenye picha ya pamoja na wawekezaji wa ...
SERIKALI YAAHIDI KUBORESHA MIUNDOMBINU KING LION
-
Prof.Mkumbo katikati akisikiliza maelekezo kutoka kwa Meneja wa King Lion
Arnold Lyimo.
Waziri Mkumbo akiwa kwenye picha ya pamoja na wawekezaji wa ...
RAIS SAMIA AFTURISHA WATOTO KIKOMBO DODOMA
-
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.
Mwanaidi Ali Khamis akigawa iftar kwa mmoja ya mtoto anayelelewa katka
Makao ...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.