Huu ndiyo mpango mzima! Hawa ndiyo FAGIO kundi muziki wa ragga toka nchini Uganda wanaotegemewa kushuka, kukamua na kufanya mchuano FULANI HIVI kwani siku hiyo THT toka dar, VHT toka rock city wote watapanda stage HILO-HILO katika siku tutakapofunga mtaa wa posta na Nyamagana jijini Mwanza, na kisha pale kati MAKAMUZzzz ya BURUDANI zilizoshiba jicho lako likisaidiwa na KITU cha BIG SCREEN na maDVJ toka Uganda, INSHU NZIMA ni tarehe 31 mkesha wa kuuga mwaka 2010 na kuukaribisha mwaka mpya 2011.
JAFO ALITAKA TENA JIMBO LA KISARAWE,AREJESHA FOMU
-
*WAZIRI wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt.Selemani Jafo,amerejesha fomu ya
kuomba ridhaa ya kutetea tena Ubunge katika Jimbo la Kisarawe*
*Dkt.Jafo amer...
SUBIRA MGALU AUTAKA UBUNGE BAGAMOYO
-
Aliyekuwa mbunge wa viti maalum mkoani Pwani, Subira Khamis Mgalu, leo June
29,2025 amechukua fomu ya kuwania nafasi ya ubunge katika Jimbo la Bagamoyo
mko...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.