TP MAZEMBE KUTOKA CONGO NDIYO MABINGWA WA LIGI YA MABINGWA BARANI AFRIKA KWAMARA YA 4. HII NI BAADA YA KUSABABISHA SARE YA BAO 1 NA KLABU YA TUNISIA, ESPERANCE KATIKA MCHUANO WA DURU YA PILI YA FAINALI KUFUATIA USHINDI WA MAGOLI 5-0 MCHUANO WA KWANZA MJINI LUBUMBASHI.
MASHABIKI WA TUNISIA WAKIFANYA VURUGU.
KABLA-YA MCHUANO HUO KUANZA POLISI WALIFANYA KAZI YA ZIADA KUZUIA GHASIA ZILIZOANZISHWA MA MASHABIKI WA ESPERANCE WALIORUSHA CHUPA ZA MAJI UWANJANI WAKATI MAZEMBE IKIINGIA. EXP ILIHITAJI MIUJIZA KUSHINDA ZAIDI YA GOLI 5. MAZEMBE INAJISHINDIA ZAWADI YA DOLLAR MILIONI 1.5 PAMOJA NA KUSHIRIKI KOMBE LA DUNIA LA VILABU NCHINI ABU DHABI MWEZI UJAO IKIFUNGUA DIMBA NA KLABU BINGWA YA MEXICO, PACHUCA.
”Rasmi Soko Kuu la Manispaa ya Bukoba lavunjwa”
-
Soko Kuu la Manispaa Bukoba limevunjwa ili kupisha ujenzi wa soko jipya la
kimataifa unaotarajiwa kuanza muda wowote.
Kwa Wakati tofauti wameonekana Wafa...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.