Tupe maoni yako
DKT. MWIGULU AONGOZA KIKAO KAZI KUHUSU UJENZI WA MIRADI YA BARABARA ZA
HARAKA KWA UBIA WA MFUMO WA PPP
-
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 17, 2026 ameongoza kikao cha
kazi kuhusu ujenzi wa miradi ya barabara za haraka (Express Ways) kwa ubia
kup...
48 minutes ago
Uncleeeeeeeeeeeee! hakika ma bidada walijidadavua na kupendeza. lakini picha iliyonishitua ni ile ya kama ma brighters vile umeipa jina la [chakula kitamu} nawaona kama watoto wadogo lkn chini ya miguu yao naona wanastahili kilicho bora(Safari lager) vp hapo?
ReplyDeleteDUH! PICHA TUMEZIONA ILA MPAGILIO WA MPIGA PICHA UNAUTATA NI VIGUMU KUTAMBUA BI HARUSI MTARAJIWA NI NANI KATI YA YAO
ReplyDelete