DAR ES SALAAM:- LEO MAJIRA YA SAA SITA NA ROBO (KAMASIKOSEI) KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM, ANGANI HALI ILIKUWA HIVI KAMA INAVYOONEKANA JUU PICHANI KWA HISANI YA SEBASTIAN MAGANGA AKA PROGRAM MANAGER WA CLOUDS ALIYEJIVUA MADARAKA NA KUKABIDHI KWA WASIKILIZAJI NOVEMBER HII.
MWANZA:- KWA UPANDE WA MWANZA NDANI YA MUDA HUO HUO HALI ILIKUWA HIVI JUU PICHANI (JUA LIKIFICHWA NA WINGU ZITO JEUSI).
TAZAMA USIKU WA BI FELISIA KYAMANI ULIVYO FANA
-
Wanafamilia na Waalikwa wakicheza kwaifuraha na shangwe kwenye siku hii
muhimu ya SendOff ya Bi Felias Kyamani .
Watu walivaa na kupendeza Ukumbi ulipambw...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.