DJ MAHIRI WA CLOUDS FM NA BODA2BODA YA TBC ONE, DEEJAY ARON LEO ANAZALIWA.
UMEZALIWA TAREHE MOJA NA CALVIN KLEAN ALIYEZALIWA 19NOV1942 HUYU NI MBUNIFU MAARUFU WA MAVAZI NA MITINDO LEBO YAKE (CK) IKITHAMINIKA NA KUTAMBULIKA KONA NA KONA ULIMWENGUNI.
VILE VILE:- LARY KING MFANYAMAHOJIANO MAHIRI WA TV NA RADIO, MTUNZI NA MHARIRI ANAYEKUBALIKA, ALIZALIWA TAREHE 19NOV1933.
Mambo sita kuuelewa msimamo wa Papa mpya
-
Papa Leo alichaguliwa kuwa kiongozi mpya wa Kanisa Katoliki Alhamisi
kufuatia kifo cha mtangulizi wake, Papa Francis, katika kongamano la siku
mbili katika...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.