ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, November 10, 2010

HAYA NI NDIYO MAISHA BORA AU BORA MAISHA?

KATUNI VIONGOZI JUMLISHA NA NGOSHA MGOMBEA YULE MSAFISHWA NA KILE KITENGOzzz SAFISHA 'UKURUTU'.

AMBULANCE KIJIJINI PETU.

USAFIRI NA MIUNDO MBINU.

KWAO MBOGA SABA KUJISEVIA KWETU MULO MUMOJA WA MANATI.

TWAISHI KAMA NYOKA.

DARASA KAMILIFU NA UPEPO MWANANA HAIHITAJI FENI WALA AIR CONDITION.

NYUMBA ANAYOISHI MWALIMU MKUU.

DARASA LA MWANANGU KARNE YA 21.

KWAO GESI NA UMEME.

MAKAZI YETU.

MAJI SAFI KWA KILA M... MWENYE HELA.

MAJI SAFI KWA KILA MWENYE NIA.

MAJI YETU KWAO MAJI TAKA.

HALI YAKUKATISHA TAMAA.

MAHAKAMA YA KITAA ISHAAMUA.

TWASOMA ILI IWEJE? WAVUMBUZI WETU WANAUMIZA VICHWA KUVUMBUA LAKINI INAFIKA MAHALI WANAGOTA NA KUBAKI MASKINI.

TUTAFANYAJE SASA? ISHAKUWA, WACHA TULEWE!

Tupe maoni yako

3 comments:

  1. g sengo inatia huruma kweli, lakini taifa letu bado changa wenzetu walikuwa hivyo lakini ni miaka zaidi ya 500 iliyopita lakini tutafika tu

    ReplyDelete
  2. gsengo asante kwa picha kazi nzuri sana endelea kutuletea maisha halisi ya mtanzania iliyosababishwa kuwa hivi sbb ya mafisadi

    ReplyDelete

Note: Only a member of this blog may post a comment.