Tupe maoni yako
WANADIPLOMASIA KUTEMBELEA VIVUTIO VYA UTALII NCHINI.
-
Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Afrika Mashariki imeandaa ziara maalum kwa Jumuiya ya wanadiplomasia nchini
kutemb...
2 hours ago
Harusi ilifana bi harusi 'grace' ulipendeza sana naona unachekelea sana mpk keki inataka kudondoka basi na iwe ivyo ndani ya nyumba yenu vicheko viendelee mpk mwisho wa maisha yenu.....nawatakia kila la kheri ktk ndoa yenu May lord give u love,happiness and live a healthier life ever....alice harare mapuli...from dar
ReplyDeleteMmependeza sana jamani nawatakia maisha yenye furaha milele yote.
ReplyDeleteKila la Kheri kati maisha yenu mapya wapedwa mungu awatangulie katika kila jambo.G sengo bigup kwa kutuletea matukio motomoto
ReplyDeleteMmeendana sana jamani,Mwenyezi Mungu awabariki na ninyi kuzidi kukumbuka ahadi mlizowekeana mbele la hekalu la Mungu Baba,Mwana na Roho Mtakatifu.
ReplyDeleteAmen.Bwana awe nanyi wapendo.