Tupe maoni yako
[07/12, 08:36] Bukuku: CHITALE AHUBIRI UMOJA MKUTANO MKUU WA WADAU MADALE
GROUP [07/12, 08:37] Bukuku: Kaka nisaidie hiyo mkutano wa umoja wetu home
Madale
-
*Na John Bukuku – Dar es Salaam*
*Kaimu DAS wa Wilaya ya Kinondoni, Bw. Salumu Chitale, aliyemwakilisha Mkuu
wa Wilaya, ametumia Mkutano wa Umoja wa W...
1 hour ago
Harusi ilifana bi harusi 'grace' ulipendeza sana naona unachekelea sana mpk keki inataka kudondoka basi na iwe ivyo ndani ya nyumba yenu vicheko viendelee mpk mwisho wa maisha yenu.....nawatakia kila la kheri ktk ndoa yenu May lord give u love,happiness and live a healthier life ever....alice harare mapuli...from dar
ReplyDeleteMmependeza sana jamani nawatakia maisha yenye furaha milele yote.
ReplyDeleteKila la Kheri kati maisha yenu mapya wapedwa mungu awatangulie katika kila jambo.G sengo bigup kwa kutuletea matukio motomoto
ReplyDeleteMmeendana sana jamani,Mwenyezi Mungu awabariki na ninyi kuzidi kukumbuka ahadi mlizowekeana mbele la hekalu la Mungu Baba,Mwana na Roho Mtakatifu.
ReplyDeleteAmen.Bwana awe nanyi wapendo.