SHANGWE ZIMEENDELEA KULIPUKA LEO KATIKA MACHIMBO YA HUKO SAN JOSE NCHINI CHILE MARA BAADA YA JUHUDI ZA KUWAOKOA WACHIMBAJI WALIOKUWA WAKIISHI KATIKA GIZA LA KIFUSI KWA TAKRIBAN MIEZI MIWILI KUZAA MATUNDA HATIMAYE MMOJA BAADA YA MWINGINE KUOKOLEWA AKIWA HAI.
MWANDISHI WA HABARI AMBAYE NI MPIGA PICHA AKIWA AMEUCHAPA USINGIZI KUSUBIRI MATUKIO YA UOPOAJI KWENYE MIGODI HUKO SAN JOSE MJINI COPIAPO.
MCHIMBAJI MARIO GOMEZ (63) JAMAA MWENYE UMRI MKUBWA KULIKO WACHIMBAJI 33 WALIOTEKWA NA+KIFUSI CHA MGODI AKISALI KUMSHUKURU MUNGU MARA BAADA YA KUIKANYAGA ARDHI KWA MARA NYINGINE.
SHANGWE..!!
RAIS WA CHILE SEBASTIAN PINERA KUONESHA FURAHA HAPA AKIMKUMBATIA MCHIMBAJI WA KWANZA KUOPOLEWA BW FLORENCIO ANTONIO SILVA.
JIMMY SANCHEZ AKIWASILI HOSPITALINI KWA AJILI YA UCHUNGUZI BAADA YA KUOKOLEWA LEO.
SHANGWE MARA BAADA YA UOKOZI TAARIFA MPAKA BLYAKO INAKWENDA HEWANI MIDA HII WATU TISA TAYARI WAMEOKOLEWA. TAARIFA ZAIDI NITAENDELEA KUKUMWAGIA.
RAIS SAMIA AFTURISHA WATOTO KIKOMBO DODOMA
-
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.
Mwanaidi Ali Khamis akigawa iftar kwa mmoja ya mtoto anayelelewa katka
Makao ...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.