ILI KUWA MFANO KWA WATANZANIA WENZANGU, KUITUMIA HAKI YANGU YA MSINGI NA KUHAKIKISHA KWAMBA KILE NINACHOKISEMA NDICHO NINACHO KITENDA, ASUBUHI YA LEO MGUU KWA MGUU HADI OFISI ZA MTENDAJI KATA YA KIRUMBA KUHAKIKI KAMA JINA LANGU NALO LIMO KWENYE ORODHA YA WAPIGA KURA ILI KUEPUKA USUMBUFU HIYO KESHO. SIKUFANIKIWA KATIKA KITUO HIKI KUONA JINA LANGU NDIPO NIKASHAURIWA NA WASAIDIZI KWENDA ENEO NILILO JIANDIKISHA KITAMBULISHO CHA KUPIGA KURA (SHULE YA M/S MWENGE).
MARA KABAaa! PALE KATI JINA LANGU LILILO ZUNGUSHIWA WINO.
WANANCHI WA KIRUMBA WILAYA YA ILEMELA JIJINI MWANZA WAKITIZAMA KWA MAKINI KUHAKIKI MAJINA YAO NA VITUO VYA KUPIGIA KURA.
WEKA HISTORIA PIGA KURA KWANI NI HAKI YAKO YA MSINGI.
Serikali Yaongeza Muda wa Tume ya Uchunguzi
-
*Na Mwandishi Wetu*
*DODOMA, Aprili 4, 2026 — Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
imetangaza kuongeza muda wa kukamilisha kazi kwa Tume ya Kuchun...
0 comments:
Post a Comment