Ferre Golla akisebeneka na shabiki wake jukwaani jana usiku.
Hapa lilikuwa linagongwa sebene laini laini,huku Ferre Golla akiongoza safu hiyo,Diamond hapatoshi ni shangwe na makelele tu. Mkazi wa Mwanza leo zamu yako pale ccm kirumba. ONYESHO LITAFANYIKA KUANZIA SAA 1 USIKU KIINGILIO SHILINGI 3,000/= TU!!
KWA HABARI NA PICHA ZAIDI TEMBELEA www.michuzijr.blogspot.com
”Rasmi Soko Kuu la Manispaa ya Bukoba lavunjwa”
-
Soko Kuu la Manispaa Bukoba limevunjwa ili kupisha ujenzi wa soko jipya la
kimataifa unaotarajiwa kuanza muda wowote.
Kwa Wakati tofauti wameonekana Wafa...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.