Tupe maoni yako
DKT. MWIGULU AONGOZA KIKAO KAZI KUHUSU UJENZI WA MIRADI YA BARABARA ZA
HARAKA KWA UBIA WA MFUMO WA PPP
-
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 17, 2026 ameongoza kikao cha
kazi kuhusu ujenzi wa miradi ya barabara za haraka (Express Ways) kwa ubia
kup...
38 minutes ago
nilikuwa naishi mwanza picha haioneshi mkutano upi ulikuwa na umati wa watu kati ya chadema na ccm hapo mirongo na inaonyesha kwa kichwa cha habari chako CCM walifanya vizuri na majibu yalijibwa is that true? then Wenje hafai?
ReplyDeleteMtu wa Mwanza - USA
Usawa ni Amani
Ianonyesha CCM hawawezi kuvuta watu mikutanoni bila kutumia wana bongoflava au ze komedi,kweli kazi ipo
ReplyDelete