TATIZO LA MAJI SAFI YALIYO SALAMA LIZIDI KUENDELEA KUWA SUGU HAPA NCHINI, JEH! TUNAHOJI WAGOMBEA AU TUNACHUKULIA POA AKA YAANI FREEESHII!!? PICHANI NI WATOTO WA KIJIJI CHA NKOME WILAYANI GEITA.
KISIMA CHENYEWE.
UMIA UJAE.
KIJIWE CHA KAHAWA KEMONDO JIJINI MWANZA. UKITAKA BREAKING NEWS ZA MJINI NA HABARI ZA SIASA AMBAZO ZAMA HIZI KILA MTANZANIA AMESHIKIA BANGO HAPA NDO PENYEWE, NASKIA PIA KUNA DEGREE ZINAZO TOLEWA BURE KWENYE VIJIWE VYA KAHAWA.
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.