ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, June 9, 2010

TUSALIMIANE..


KUNA ILE STORI YA KICHAA ALIYE CHUKUWA NGUO ZA JAMAA ALIYEKUWA AKIOGA. JAMAA AKATOKANDUKI CHUKUCHUKU AKIMKIMBIZA KICHAA. MWISHO WA SIKU JAMAA NDIYE ALIYE HESABIKA CHIZI. SASA HAPA MJOMBA NAE KAENDA KUCHIMBA DAWA HAIJULIKANI NI MZIZI MKUU AU DAWA ZA MATAWI?TIHI!!!
KATIKATI YA MJI NI HOUSE LA BROO MWENYE MKE NA WATOTO WAWILI.

ZAMANI HAPA BARABARANI KUTOKA AU KUELEKEA KANDA YA KASKAZI ILIKUWA NDIYO KIMBILIO KWA MAFUTA HAYA YA ALIZETI. LAKINI ZAMA HIZI MAFUTA HAYA YAMEKUWA GHALI KWELI BEI HAINA TOFAUTI NA ILE YA KWA MANGI.

KAMA NI MITI ARUSHA IMEPANDWA ILE KISAWASAWA. NASKIA ILIANZA KIUTANI TU! NAYO ILIKUWA NI KAMPENI YA MAMA MMOJA HIVI WA BALOZI ZA NJE ALIYEJITOLEA HATIMAYE MPANGO MZIMA.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.