MBUNGE NYAMAGANA WAZIRI MASHA NA UTAIFA.
LAKINI BAO 1 LA STARS AMBALO LILIFUNGWA NA JABIR AZIZ LIMEVUNJA REKODI YA BRAZIL AMBAYO ILIKUWA HAIJARUHUSU BAO LOLOTE KATIKA NYAVU ZAKE KTK MECHI SITA ZA MASHINDANO YOTE TANGU OCTOBA 2009 ILIPORUHUSU BAO KUTOKA BOLIVIA.
NGENI RASMI AKIWA RAIS JAKAYA KIKWETE, MCHEZO ULIANZA KWA DOSARI ZA UPIGWAJI OVYO WA WIMBO WA TAIFA WA BRAZIL KWA KUCHANGANYANA NA SAUTI YA SREEN UWANJANI HAPO. NASKIA MOUSE YA COMPUTER YA BIG SREEN ILIGOMA..
SHABIKI ALIYEKUWA AKITIA HAMASA UWANJANI HAPO.
USALAMA ULIKUWA SWAFI KWA WALIOEGESHA MOTOKAA ZAO ENEO HILI MAALUM UWANJANI PALE, SIJUI KWA WENGINE WALIO KWEPA GHARAMA YA MAEGESHO BUKU TENI!
NCHI RAFIKI NAO HAWAKU TUANGUSHA. MAMA HUYU ALINIPA JINA LAKE KULIANDIKA MZEEE... INSHU!
MAGOLI YA BRAZIL YALIFUNGWA NA ROBHINO dk za 10, 33, RAMIRES dk 52, 92 NA KAKA dk ya 70 HUKU BAO LA PEKEE LA STARS LIKIFUNGWA NA KIUNGO JABIR AZIZ dk 86 ALIYEINGIA KUCHUKUWA NAFASI YA ABDUL HALIM HUMOUD.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.