THANX FOR JOINING WITH US.
12 JUN 2010 THE PLACE YATCH CLUB.
PAMOJA NA SERVICE NZURI RAHA YA SHEREHE NI VINYWAJI NA CHAKULA KIZURI.
RAFIKI WA MARAFIKI KAMANDA MPIGANAJI RWAMBOW IN THA HOUSE.
MC BONKE MSHEREHESHAJI MAARUFU JIJINI MWANZA AMBAYE ALIONGOZA SHUGHULI HIYO HATUA ZOTE BILA UTATA YAANI FREEESH!! NAMBA ZAKE NI 07.....303 AKSANTENI SANA.
DADA WA BWANA HARUSI (KATIKATI) WHITNEY FASHION NA FLOWERS WENGINE.
WE ACHA! WATU WALIVUNJA MAKABATI BWANA! WATANGAZAJI WA STAR TV FATMA SHEMWETA (MBELE) NYUMA YAKE HUSNA MLANZI, HAPA NI ULE WAKATI WA KUTWAA UVUMBA NA MANEMANE KWA MAHARUSI(ZAWADI).
MTANGAZAJI RADIO FREE AFRICA NA STAR TV 'LE PRINCE' BAINA KAMUKULU.
SHUGHULI NI WATU NA WATU NDO SISI BWANA LAZIMA KUNG'ARA ALAA!
BI DADA NA POZI LAKE LA KUTAKATA.
'MASHOSTITO' SHANI AND OLIVER.
TIZAMA SASA WAMEKUWA MWILI MMOJA.
NILIKWAMBIA PALI SHINE ILE KISAWASAWA.
MABRAZAZ WAUKWELI MWANZA NZIMA.
MAHARUSI NA WAPAMBE WAO HAOOOOO!
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.