MSANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA MWANADADA ZUHURA KWA HIVI SASA YUKO MAPUMZIKONI NYUMBANI KWAO JIJINI MWANZA, AMBAPO PAMOJA NA KUSALIMIA NDUGU PIA ANATUMIA MAPUMZIKO HAYO KUFANYA SHUGHULI MBALIMBALI ZA KIJAMII KUPITIA MIALIKO MBALIMBALI YA MASHIRIKA BINAFSI ROCK CITY. SHOTO DJ GEORGE, KULIA KABAGO. ZUHURA MWIMBAJI AMBAYE VILE VILE YU MWANAMITINDO ANAMPANGO WA KUUNGANA NA WANANCHI WOTE WATAKAO KUSANYIKA PAMOJA KATIKA SIKU YA KUWAKUMBUKA WATU WALIOFARIKI DUNIA KWA AJALI MBAYA YA MELI YA MV BUKOBA 21 MWEZI HUU KTK VIWANJA VYA IGOMA JIJINI MWANZA.
RAIS SAMIA AFTURISHA WATOTO KIKOMBO DODOMA
-
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.
Mwanaidi Ali Khamis akigawa iftar kwa mmoja ya mtoto anayelelewa katka
Makao ...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.