NAAM MWENYE NYUMBA KAFAIDIKA . NYUMBA INANGARA NAKUVUTIA MPITA NJIA LAZIMA ATUME MACHO NA INAKUA ALAMA YA WANAOPOTEA. SASA UKIFANYA TAMAA HATA RANGI HUTOIONA NENDA NA WAKATI. HIYO BIASHARA YA KULIPWA BADO HAIJATUA MWANZA. LABDA UKISIKIA VILABU INAANZA KUWEKA WACHEZAJI WA KULIPWA WACHEZA MPIRA WA TANZANIA NI WACHEZAJI WA KULIPWA NA WEWE UTALIPWA NA KUPIGIWA RANGI.
kweli wasukuma mume lala kama sii kusinzia. Hivi ninyi mkojeeee ? mna dhahabu bado maisha yenu duniii na hili la matangazo tema mumelalaaaaa mumeshazikwa bila kujua mbona mabo haya arusha moshi na dar hayapo kwa nguvu hivyo?
this is a poor form of marketing done by big company's to try take over the people with there products. i personaly would not like my house to be covered by logos, images and messages.
ENDORO WATER FALLS, MAAJABU MENGINE NGORONGORO
-
Mbaraka Mwinshehe aliwahi kuimba akiisifia Morogoro na jinsi maji
yanavyotiririka kutoka milimani.
Mwinshehe angekuwa hai pengine angefika maporomoko ...
Rais Museveni atangazwa mshindi wa uchaguzi Uganda
-
Tume ya uchaguzi nchini Uganda imemtangaza Rais Yoweri Kaguta Museveni kama
mshindi wa uchaguzi uliofanyika Alhamisi wiki hii, akiwa na jumla ya kura
7,946...
NAAM MWENYE NYUMBA KAFAIDIKA . NYUMBA INANGARA NAKUVUTIA MPITA NJIA LAZIMA ATUME MACHO NA INAKUA ALAMA YA WANAOPOTEA. SASA UKIFANYA TAMAA HATA RANGI HUTOIONA NENDA NA WAKATI. HIYO BIASHARA YA KULIPWA BADO HAIJATUA MWANZA. LABDA UKISIKIA VILABU INAANZA KUWEKA WACHEZAJI WA KULIPWA WACHEZA MPIRA WA TANZANIA NI WACHEZAJI WA KULIPWA NA WEWE UTALIPWA NA KUPIGIWA RANGI.
ReplyDeletekweli wasukuma mume lala kama sii kusinzia. Hivi ninyi mkojeeee ? mna dhahabu bado maisha yenu duniii na hili la matangazo tema mumelalaaaaa
ReplyDeletemumeshazikwa bila kujua mbona mabo haya arusha moshi na dar hayapo kwa nguvu hivyo?
Jamani umenikumbusha nyumbani tanzania yaani hayo maeneo ya nyakato igoma ndio maskani kweli mwanza nzuri
ReplyDeletethis is a poor form of marketing done by big company's to try take over the people with there products. i personaly would not like my house to be covered by logos, images and messages.
ReplyDelete