Ustaadh akanambia "MWANANGU HIZI NIMENUNUA JANA, NIKASEMA YAAANI SOX TUNABAMIZWA ALFU5 KUMBE HUKU MTAANI 3 ALFU MOJA". Alidhani kapata kumbe... KUNA ZILE SOX ZINAZOUZWA NA MACHINGAZ, ETI SOX TATU BUKU, CHEKSHIA UBORA WAKE, SIKU MOJA YA PILI.....
KILA MTU SIKU HIZI ANAPENDA KUONEKA TOFAUTI IWE KATIKA SHEREHE, HAFLA AU MITOKO MBALIMBALI, MIAKA YA NYUMA WENGI TULIONEKANA KUJIBIDIISHA SANA KUSAKA MAVAZI AMBAYO YANGESABABISHA WENGINE KUDONDOSHA SIFA ILIYO KUU "UMEPENDEZA, LAKINI MIAKA YA SASA INSHU SI KUPENDEZA TUU WATU TUNAMAIND SUALA LA KUMEK HEADLINE. CHEKSHIA SIDIRIA HIYOoooo....
WEE BIA 4 TU, UNAONGEA MANENO MEEEEEENGI, UKIONGEZA YA 5 UMEFLOTI. CHEKI DOGO ANAGONGA CHUPA YA MWISHO KTK KRETI.... HUTAKI?
TAZAMA USIKU WA BI FELISIA KYAMANI ULIVYO FANA
-
Wanafamilia na Waalikwa wakicheza kwaifuraha na shangwe kwenye siku hii
muhimu ya SendOff ya Bi Felias Kyamani .
Watu walivaa na kupendeza Ukumbi ulipambw...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.