IMEKUWA SUALA LA KAWAIDA KUZIDISHIWA BILL NA WAHUDUMU KTK ILE TOTAL AU KUUZIWA VINYWAJI NA CHAKULA KWA BEI TOFAUTI NA ILE HALALI ILIYOPANGWA NA BAA/HOTEL HUSIKA. SASA MWANAWANE ILI TUSIENDELEE KUPIGWAAAA, KUNA HAKA KAUTARATIBU KAMEFANYIKA PALE ROYAL PUB (BANGO LENYE BEI HALALI), KUWEKA MENU KILA MEZA BAJETI KIBONGOBONGO HAIRUHUSU HEBU TUWASHAURI NA WADAU WENGINE WAIGE MFANO HUU. AU SIYO UKIPIGWA BASI UMETAKA MWENYEWE!
RAIS SAMIA AFTURISHA WATOTO KIKOMBO DODOMA
-
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.
Mwanaidi Ali Khamis akigawa iftar kwa mmoja ya mtoto anayelelewa katka
Makao ...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.