MWILI WA MAREHEMU GERALD UKIWASILI NYUMBANI KWAKE KWAAJILI YA TARATIBU ZA IBADA YA MAZISHI.
MKE WA MAREHEMU ALISHINDWA KUJIZUIA KWANI ALIZIMIA MARA TU BAADA YA KUONA JENEZA LA MUMEWE LIKIINGIA NYUMBANI KWAAJILI YA IBADA.
BAADA YA MUDA MAMA ALIREJEA KATIKA HALI YA KAWAIDA NA KUENDELEA NA IBADA.
FAMILIA YA MAREHEMU NA NDUGU ZAKE IBADANI.
MARAFIKI KATIKA HARAKATI ZA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO.
"AAH! BABA UMEKWENDA?" HAKIKA MIRIAM AMEPATA WAKATI MGUMU.
MTOTO WA MAREHEMU AMBAYE NI MISS TZ 2009-2010 MIRIAM GERALD AKITOA HESHIMA ZAKE MBELE YA MWILI WA BABA YAKE.
UMMA ULIOHUDHURIA MSIBA HUU ULIKUWA NA WAKATI MGUMU KUSIKILIZA MANENO YA KILIO CHA BINTI HUYU.... KILICHOBAKI KWA SISI TULIO BAKIA KUJIPA MOYO WA MATUMAINI NA KUJIVIKA UJASIRI.
MIRIAM ALISHINDWA KUJIZUIA HATA KUPEWA MSAADA.
MKE WA MAREHEMU BI.HELEN NAE AKITOA HESHIMA ZAKE ZA MWISHO.
SEHEMU YA UMATI ULIOJITOKEZA.
MWILI WA MAREHEMU HATUA KWA HATUA HADI KWENYE GARI TAYARI KUELEKEA NYUMBA YA MILELE.
SEHEMU YA UMATI ULIOFIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU.
GARI LA MISS TZ.
MSAFARA KUTOKA BUGANDO KUELEKEA MAKABURINI ALIKOZIKWA ENEO LA IGOMA JIJINI MWANZA.
Siri iliyopo "nyuma ya kifo" ndiyo inayotufanya tusiulize mengi. Lakini hili haliondoi UKWELI kuwa inasikitisha saana hasa inapotokea ghafla namna hii (mfano ajali) Mungu awape ujasiri ndugu jamaa na marafiki na AKUBARIKI WEWE KAKA G-Sengo kwa kutuunganisha na jiji la Mwanza na Kanda ya ziwa. Baraka na ujasiri kwenu nyote
DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO CHA NEC
-
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya
CCM Ta...
DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO CHA NEC
-
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya
CCM Ta...
DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AONGOZA KIKAO CHA NEC
-
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya
CCM Ta...
KOICA Yajenga Maabara ya Kisasa ya 3D ATC
-
Na Woinde Shizza, Arusha
Chuo cha Ufundi Arusha (ATC), kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo ya
Kimataifa la Korea (KOICA), kimezindua rasmi maabara...
Siri iliyopo "nyuma ya kifo" ndiyo inayotufanya tusiulize mengi.
ReplyDeleteLakini hili haliondoi UKWELI kuwa inasikitisha saana hasa inapotokea ghafla namna hii (mfano ajali)
Mungu awape ujasiri ndugu jamaa na marafiki na AKUBARIKI WEWE KAKA G-Sengo kwa kutuunganisha na jiji la Mwanza na Kanda ya ziwa.
Baraka na ujasiri kwenu nyote
Apumzike kwa amani.
ReplyDelete