MR. EDGAR JONAS MAPANDE WA DAR ES SALAAM ANAWATAKIA KILA LA KHERI NA FANAKA MARAFIKI WOTE KATIKA KUSHEREHEKEA X.MASS NA MWAKA MPYA 2010 UPENDO NA BURUDANI VIENDELEE.
SHANGWE POPOTE UKIWA NA M-PESA YAWAFIKIA MBEYA
-
*Meneja Biashara wa kampuni ya Vodacom Tanzania Plc Kanda ya Nyanda za Juu
Kusini, Magreth Mambai (kushoto) akiweka mafuta yaliyotolewa bure kwa mteja
wa ...
Kheri ya Krismasi na mwaka mpya kwako pia!!!
ReplyDeleteKaka Bert
ReplyDeleteKwa niaba ya familia yangu na wapenda mema wote nakutakia kila lililo jema wakati huu wa sikukuu na usalama kuelekea mwaka mpya
Baraka kwako