AWALI LADY JAY DEE ALIULIZA MASHABIKI WAKE "WANGAPI HUMU NDANI WANAKUBALI KWAMBA WAO MATEJAWANYOOSHE MIKONO?" WATU KIMYAAA.... MIDUNDO IKAANZA, MARA MASHAIRI, MARA CHORUS. EH BANAEEEEEEE! WATU MIE TEJA MIE TEJA... NAUSUBIRI KWA HAMU WIMBO 'TEJA WA MAPENZI'
ILIKUWA NI FURSA YA SURPRISE EH! BANA KUMBE MTUMZIMA SEBASTIAN NDEGE MZEE WANJIA PANDA (mwenye tshirt black) ANAKIPAJI KINGINE!!!!?
JONIKO FLOWER MAUA KWAA, MWINYI, KOMANDO JIDE NA SAM SAFU YA MBELE YA MACHOZI BENDI USIIPIMIE
WAKAZI WA ROCK CITY WAMEDATA NA HAWAAMBIWI KITU JUU MACHOZI BAND, BENDI YA MTOTO WA NYUMBANI NA WAKO TAYARI KUWA WATU WA KWANZA KUZIMILIKI KWA GHARAMA YOYOTE CARD ZA UANACHAMA WA MACHOZI FANS CLUB.(NAOMBA KUWAKILISHA) WAPENZI WA BURUDANI MWANZA WAKISEREBUKA NA MANGOMAZ HATARI YALIYOPOROMOSHWA LIVENA MACHOZI BAND. ILIKUWA NI RAHA HAKUNA MFANO KWANI WAPENZI WALICHEZA MWANZO MWISHO HUKU TIME ZA KUKAA ZIKIHESABIKA.
RAIS SAMIA AFTURISHA WATOTO KIKOMBO DODOMA
-
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe.
Mwanaidi Ali Khamis akigawa iftar kwa mmoja ya mtoto anayelelewa katka
Makao ...
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.