MSANII MAARUFU TOKA KANDA YA ZIWA JITAH MAN AMBAYE ALIPATA AJALI MBAYA YA PIKIPIKI YAKE KUGONGANA NA DALADALA NA HATA MASHUHUDA WA AJALI HIYO KUVUMISHA TAARIFA KWAMBA ALIAGA DUNIA KUMBE SIVYO ALITAMBULISHWA RASMI KUWA YU HAI KTK FIESTA ONE LOVE MWANZA, KILA MMOJA ALIKUWA NA HAMU KUMWONA KWANI KIPINDI UVUMI UKIENDELEA HAKUKUWA NA CHOMBO CHOCHOTE CHA HABARI KILICHO THUBUTU KUMWONYESHA UONEKANO WAKE ZAIDI YA VINGINE KUKAZIA KUWA ALIAGA DUNIA. KILA MMOJA ALIYEKUWA PALE MACHO YAKE YALIELEKEA KTK STAGE PINDI ADAM MCHOMVU MMOJA WA MA MCZ WA SIKU HIYO ALIPOMUALIKA KTK STAGE, ALIPANDISHWA NA NGOSHA THE DON NA SIMANZI ZAIDI ILIKUWA NI NENO LILILOTOKA KINYWANI MWAKE.....
PICHA ZINAZOFUATA NI KIPINDI YU HOSPITALI YA RUFAA YA BUGANDO AKIPATA TIBA ILIKUWA SOOO.. NGOJA TATHMINI MARA BAADA YA SHOW YA FIESTA DAR MENGINE YEPI YA KIHISTORIA2009.
MAZOEZI ILIKUWA NI MOJA YA SEHEMU YA KUIMARISHA TIBA ALIYOKUWA AKIIPATA KIUFUPI JITAH MAN HAKUWA MVIVU KTK KUKETI KWA NGUVU ZAKE KUUPA MWILI NA VIUNGO VYAKE ZOEZI.
KWA KARIBU ZAIDI "KAKA ILINICHAKAZA LAKINI POA TUU"
JITAH MAN AKA ZAGAMBA ALIPOKUWA KITANDANI AKIPOKEA TIBA NDANI YA HOSPITALI YA RUFAA BUGANDO JIJINI MWANZA, INGAWA KIMWONEKANO ALIKIKUWA HOI LAKINI HAKUSITA KUONESHA POZ ZA UNGANGARI, "MWANAUME NI MWANAUME TU"
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.