IMEZOELEKA NA IMEKUWA DESTURI KUONA SANAMU NYINGI ZISIMIKWAZO HAPA NCHINI ZIKIWA NA TASWIRA ZA MOJA YA VIONGOZI WETU WENYE HISTORIA KTK HARAKATI ZA MAENDELEO YA NCHI AU ENEO HUSIKA LAKINI SASAAAA! SHUHUDIA HIKI KIPITA SHOTO CHA KAUMA KILICHOPO BARABARA YA KENYATA JIJINI MWANZA KATIKA MWONEKANO MPYA WA MOJA YA UTAMBULISHO WA ZAO LINALOPATIKANA ZIWA VICTORIA HUYU NI SAMAKI AINA YA SATO. NAJUA UNASWALI...ULIZA
Tupe maoni yako
bomba sana hiyo naona siku hizi tuna viongozi wanaobuni na kufikiria vitu vya maana vya kufanya juu ya mji wao
ReplyDeleteBMK
sengo acha uhuni mbona mi sioni kipita shoto hapa naona mabati kama kwa mama ntilie vile? anyway naomba msaada wadau
ReplyDelete