NGOMA INAENDELEA KUSONGA NA KILA INAKORINDIMA INAACHA SIMULIZI. KUWA MAKINI PINDI INAPOZURU MKOA UNAOISHI AU HATA UKIISIKIA MKOA WA JIRANI HIMA ISIKUPITE.
Sengo!Blog Bomba sana na yaukweli sana. Unavitu tofauti sana sana na wengine. Kuhusu One love fiesta mwambie joe na ruge this time "wametuibia" mwanza iko juu na tunataka vitu vya kiwango. Ni 100 times wangeletwa wazee wa ngwasuma tukafiestika kuliko " vitoto" vinavyocheza maigizo ya Play back na promo kubwaaaaa! next time tutawatoa nishai. Mnaleta wasanii wenu wachovu tunaleta msondo ama kmondo sound. Hivi Ruge na Joe wataendelea kupaona mwanza kama Kijiji hadi line?? waambie " wachunguze wajomha watabhainiii
Wachezaji maarufu duniani waliokufa kwa ajali
-
Ulimwengu wa kandanda umekumbwa na ajali nyingi mbaya za magari kwa miaka
mingi, zikigharimu maisha ya vipaji vinavyoinuka na wataalamu waliobobea.
Sengo!Blog Bomba sana na yaukweli sana. Unavitu tofauti sana sana na wengine.
ReplyDeleteKuhusu One love fiesta mwambie joe na ruge this time "wametuibia" mwanza iko juu na tunataka vitu vya kiwango. Ni 100 times wangeletwa wazee wa ngwasuma tukafiestika kuliko " vitoto" vinavyocheza maigizo ya Play back na promo kubwaaaaa! next time tutawatoa nishai. Mnaleta wasanii wenu wachovu tunaleta msondo ama kmondo sound. Hivi Ruge na Joe wataendelea kupaona mwanza kama Kijiji hadi line?? waambie " wachunguze wajomha watabhainiii