WAZIRI WA NISHATI NA MADINI MBUNGE WA WILAYA YENYE KASI KTK MAENDELEO (SENGEREMA) MH. WILLIAM NGELEJA (mwenye t.shirt nyeupe) AKISHOW LOVE NA WADAU WA FILAMU YA CONFUSION YENYE WASHIRIKI WENYE MAJINA MAKUBWA NCHINI KAMA GADNA G. HABASH, SALAMA JABIR, MAUNDA ZORO NA WENGINE KIBAO. FILAMU INA MAZINGIRA YA MIJI MIWILI MIKUBWA HAPA NCHINI DAR ES SALAAM NA MWANZA ILE HALI MWANZA IKICHUKUA ASILIMIA KUBWA KTK MATUKIO YA PICHA, MAZINGIRA NA WAIGIZAJI.
mimi nitaipataje hiyo movie huku UK? Bwana usishangae napokuwa kimya mi kila siku lazima nikutembelee nilifurahi niliona magazeti lakini yalikuwa yanazoom kidogo hivyo nilishindwa kusoma yanatakiwa yajae screen unapoyafungua, anyway kazi njema
Mambo sita kuuelewa msimamo wa Papa mpya
-
Papa Leo alichaguliwa kuwa kiongozi mpya wa Kanisa Katoliki Alhamisi
kufuatia kifo cha mtangulizi wake, Papa Francis, katika kongamano la siku
mbili katika...
mimi nitaipataje hiyo movie huku UK?
ReplyDeleteBwana usishangae napokuwa kimya mi kila siku lazima nikutembelee nilifurahi niliona magazeti lakini yalikuwa yanazoom kidogo hivyo nilishindwa kusoma yanatakiwa yajae screen unapoyafungua,
anyway kazi njema
BMK