CHUNGUZA HIZI PICHA HATUA KWA HATUA KISHA NAMBIE UMEONA NINI? PICHA HII IMECHUKULIWA KATIKATI YA BARABARA YA NYERERE JIJINI MWANZA KWA KUKUSAIDIA ILIKUWA NI KATIKA MSAKO WA WAENDESHAO PIKIPIKI BILA KOFIA MAALUM (HELEMENT). CHUNGUZA MJOMBA UTABAINI....
Tupe maoni yako
Du polisi kamkamata jamaa halafu polisi kashikishwa chake mambo yameisha tutafika kweli. Halafu sengo ile kofia inaitwa HELMET na sio element kama ulivyoandika
ReplyDeleteNilikuwa na ombi unaweza ukawa unayapiga picha magazeti ya mwanza kama anavyofanya mjengwa kwa magazeti ya dar ambapo hupiga picha kurasa za nje na ndani halafu hutndika mtandaoni picha hizo magazeti ninayoyaongelea ni MZAWA na MSANII AFRIKA sijui kama kuna mengine lakini hayo ndio niliyoyaacha, kazi njema
BMK
aksante babaake napenda ufuatiliaji wako big up! la magazeti naliweka sawa, soon zaidi ya very soon utagongana nalo mtandaoni.
ReplyDelete