EH BANA KUNA BONGE LA CLUB LINAFUNGULIWA EID MOSI HAPA MUJI YA DHAHABU (KAHAMA) CLUB INAITWA KAHAMA SOCIAL CLUB PANA VIEW YA HATARI KAUNTA ZAKITALII, DISCO LA NGUVU, MAKULAJI, MAVINYWAJI NA MAKILA KINGA FRENGWA. MB DOG ATASABABISHA MVUA YA MAUA MEKUNDU KWA MASONGI YA MALAVIDAVI, JAFARAH ATAKAMUA HIP HOP, UNAAMBIWA ABIRIA CHUNGA MZIGO KWANI- BONGO DAR ES SALAAMDUDENAYE NDANI(ataiba kweli? maana kunaulinzi wa baunsaz na screen). MAJD WAPYA WAVSS KUTAMBULISHWA. DJ SELE NA DJ SUMMER. DUNIA IMEZALIWA"
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.