KWA WALE WASAFIRI TUNAO NGOJA USAFIRI KAMA NI ASUBUHI EH BANA KUNA MAMA MMOJA ANAYEZINGATIA KANUNI ZOTE ZA AFYA NA USAFI KATIKA KITORORI CHAKE AMBACHO NI FUUL NYENZO KUNA CHAI YA UKWELI "NZITO", VITAFUNWA VYA UHAKIKA. BABAKO NILIJICHUKULIA VITUMBUA NA CHAI YA MAZIWA (acha zile zetu za chai ya maziwa kutiwa maji hapa ni ziwachukuchuku imin lile shata shata)
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.