ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, July 27, 2009

"KAMA UNAHITAJI AMANI OMBEA ADUI YAKO" by PEACE MULU



MWIMBAJI MAARUFU KUTOKA NCHINI KENYA PEACE MULU ANAYETIKISA NA NYIMBO KAMA OMBEA ADUI YAKO, WAAMBIE WANADAMU NA NYINGINEZO NYINGI ALIPATA SHANGWE ZA KUTOSHA TOKA KWA WATANZANIA HUKU WENGINE WAKIMPOKEA KWA KUIMBA VIPANDE VYA BAADHI YA NYIMBO ZAKE HATA AKAKIRI KUWA AKIRUDI KWAO LAZIMA AKAHADITHIE MAPOKEZI ALOYAPATA.

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.