NA ALBERT G. SENGO
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini TPA imetenga bajeti kwaajili ya kutoa mafunzo kwa askari wasaidizi wa ulinzi maeneo ya Bandari. - Ramadhan Ng'anzi ni Kamanda wa Polisi mkoa wa Mwanza. - Mrisho S. Mrisho ni msimamizi wa huduma za ulinzi wa bandari. wamekuwa mashuhuda wa hitimisho la mafunzo hayo yaliyofanyika jijini hapa.Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.