Ibada ya
pamoja ya maziko ya vijana 21, waliofariki katika mazingira tatanishi kwenye
klabu moja nchini Africa kusini, inafanyika leo.
Ibada
ya vijana hao wanaodaiwa kuwa na umri wa kati ya miaka 13-17, inafanyika katika
bustan ya Scenery, mashariki mwa jiji la London.
Rais wa
Africa Kusini ,Cyril Ramaphosa, maafisa wa serikali na mafariki ni baadhi ya
wageni 3,000 wanaotarajiwa kuhudhuria mazishi ya leo.
Hakuna
taarifa rasmi ambayo imetolewa kuhusiana na chanzo kamili cha vifo vya vijana
hao wanaodaiwa kufariki wakati wakisherekea kumalizika kwa mitihani yao.
Hata hivyo
uchuguzi wa awali umebaini kuwa huenda vijana hao walivuta hewa yenye sumu.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.