ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Wednesday, December 5, 2018

WIZARA, IOM WAJADILI CHANGAMOTO ZA KUWARUDISHA WAKIMBIZI WANAOTAKA KUREJEA MAKWAO

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa (IOM), Dkt. Qassim Sufi (kulia), alipofika Ofisi Ndogo ya Wizara kujadili changamoto mbalimbali za kusafirisha wakimbizi wanaoendelea kurejea makwao baada ya kuimarika kwa amani katika nchi zao. Mazungumzo hayo yamefanyika leo jijini Dar es Salaam.
Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa (IOM), Dkt. Qassim Sufi (kulia), akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, alipofika Ofisi Ndogo ya Wizara kujadili changamoto mbalimbali za kusafirisha wakimbizi wanaoendelea kurejea makwao baada ya kuimarika kwa amani katika nchi zao. Mazungumzo hayo yamefanyika leo jijini Dar es Salaam. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi
IMEANDALIWA NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.