NA GSENGOtV
Kampuni ya michezo ya kubashiri nchini ya SportPesa tayari imezindua rasmi kampeni ya SHINDA NA SPORTPESA itakayodumu kwa siku 100 (SIKU 100 BAJAJ 100) ambapo mshindi mmoja ataweza kujishindia TVS KING mpya kila siku.
Kwenye promosheni hiyo ambayo tayari washindi wamekwishaanza kujinyakulia Bajaj zao, lakini pia kutakuwa na zawadi nyingine zinazoshindaniwa ambazo ni pamoja na tiketi tatu kwenda nchini Uingereza kutazama mechi ya EPL, tiketi moja ikitolewa kila mwezi sambamba na jezi orijino zitakazotolewa kila wiki.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.