Wakazi wa Jiji la Mwanza wamejimix vyema katika msimu wa tano wa tamasha la "Samaki Carnival 2017", lililo fanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya burudani Rock Beach Garden, kichupa hiki ni sehemu tu ya uhondo wa usiku wa jumapili.
Tupe maoni yako
0 comments:
Post a Comment
Note: Only a member of this blog may post a comment.