Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli
ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba Bw.
Erasto Mfugale na Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba Vijijini
Bi. Mwantumu Dau wakisubiri kupangiwa kazi nyingine.
0 comments:
Post a Comment