ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

ZIMA KILA KITU ILA WASHA JEMBE FM 93.7 MWANZA

Monday, October 16, 2017

HUYU NDIYE KIJANA ALIYEKUWA AKIHUDUMU KWENYE NYUMBA YA MWALIMU NYERERE AKAPEWA JINA 'MKUU WA MKOA'


Katika kazi darasa tutaongea na mzee huyu pichani aliyekuwa msaidizi wa kazi na shughuli mbalimbali nyumbani kwa Hayati Baba wa Taifa #JKNyerere 

Kutokana na uchapakazi wake Mwalimu Nyerere aliamua kumpa jina akamwita 'MKUU WA MKOA'

Ana watoto 20 Ana umri wa miaka #70na_kadhaa na yuko nondo ile balaa, jeh anatumia chakula gani? Aliishi vipi na Mwalimu? 

NINI USHAURI WAKE KWA VIJANA KIZAZI KIPYA!? #KaziDarasa ya #KAZINANGOMA toka @jembefm imehusia naye 

CC:- @mansourjumanne @gsengo @djscorpion

Tupe maoni yako

0 comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.